UTALII


USHIRIKIANO WA TANZANIA NA SUNDELAND WAKUA KWA KASI

Ushirikiano mzuri ulioanzishw natanzania na sundeland leo umeendelea kudumishwa baada ya clab hiy kuahidi kujenga uwanja wa michezo jijini dar katika eneo la kidongoo chekundu.

 
MKURUGENZI HUYO KUTOKA SUNDELND AKIMKABIDHI ALOYSE NYUKI AMBAYE NI MKURUGENZI MTENDAJI W BODI YA UTALII TANZANIA JEZI YA TIMU YAKE KWA ISHARA YA USHIRIKIANO MWEMA JEZI HIYO IMESAINIWA NA WACHEZAJI WA SUNDELAND

No comments:

Post a Comment